Huyu shekh hana haya? mwezi wote huu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu shekh hana haya? mwezi wote huu!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Sep 4, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. b

  bizoocomplex Member

  #2
  Sep 4, 2010
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani shida iko wapi unafikiri hapo yupo zanzibar nini
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kisa gani ajivunge wktk kaona wenzie wote wanapiga matarumbeta.:becky::becky:
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kanzu na kiemba ni vazi la kiarabu kwahiyo hata wakristo wanavaa.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Source Please . . .
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  source wapi watu siku hizi wanabandika tu mipicha halafu watu mtajiju wenyewe.....we tafsili ujuavyo basi..
   
 7. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kaka acha kuudhalilisha uislam...

  1. Sio waarabu wote ni waislamu mfano Tariq Aziz wa Iraq alikuwa mgalatia
  2. karibu asilimia 80 ya walebanon ni wagalatia
  3. Kanzu sio usheikh ni vazi tu la kitamaduni za kiarabu na mashariki ya mbali.


  Angalizo:

  Muwe mnajua mnachokisema sio kurukia tu maneno kisa unataka kusema utavishwa shanga...
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  pia ilipigwa lini??? kuileta hapa leo haina maana imepigwa mwezi mtukufu

  dah waswahili balaa
   
 9. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuamke Africans tukiambiwa kuwa akili zetu ni kucheza ngoma kufikiri ni kudogo huwa tunahisi tumesifiwa tafadhalini wafrica wezangu tumepewa akili ili tuweze kuzitumia
  Bavaria Wit Non-alcoholic Wheat Beer (0.0%) - 24 x 330ml bottles  [​IMG]

  [​IMG] <table width="100%" align="center" border="0" cellpadding="4" cellspacing="0"> <tbody><tr class="cell2"> <td colspan="2"> Brewer's Description:
  "Bavaria non-alcoholic beer is the only beer that has 0.0% alcohol. Even so, its taste can be compared to a Pilsener and it has all the characteristics of a good refreshing beer. No other non-alcoholic beer compares to the taste of Bavaria non-alcoholic beer."

  </td> </tr> </tbody></table> <table width="100%" align="center" border="0" cellpadding="4" cellspacing="0"><tbody><tr class="cell1"> <td width="40%">Alcohol Content (ABV):</td> <td>0%</td> </tr> <tr class="cell1"> <td width="40%">Calories:</td> <td>[​IMG]</td> </tr> <tr class="cell1"> <td width="40%">Carbohydrates:</td> <td>[​IMG]</td> </tr> <tr class="cell1"> <td width="40%">Bitterness (IBU):</td> <td>[​IMG]</td> </tr> <tr> </tr><tr class="cell1"> <td colspan="2">
  </td></tr></tbody></table>

  Buckler: Our Favorite Non-Alcoholic Beer (So Far)

  [​IMG]We have a

  particular reason for craving non-alcoholic beer right now, and this has emerged as a recent favorite...
   
 10. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Shehe mbona wahamaki? Vazi alilovaa huyu ndugu ni la kiislamu hasa huko kichwani kwake. Waarabu Wakristo huvaa suti mfano wa huyo Tariq Aziz uliyemtaja.
   
 11. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Sheikh wa Mazingira suti sio vazi la Waarabu, ni vazi lililorithiwa kutoka kwa Wazungu kama ilivyo kwa Waafrika.

  Waarabu wakristo pia huwa wanavaa kanzu na hivyo vilemba havimaanishi dini bali ni utamaduni wao. Hapo miaka ya awali ilikuwa katika kusaidia kupunguza makali ya jua, kuzuia upepo mkali
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,020
  Trophy Points: 280
  ile chupa aliyebeba sio bavaria malt so kuna uwezekano ni beer
   
 13. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo ndipo niliposema wafrica tuzitumie akili zetu katika kufikiri hizi Bavariani mfano tu wa miongoni mwa beer zinazotowa zisizo kuwa na alkoholi na ndo maana hata mujuzi unawakuta wanakunywa beer lakini haina alkoholi kwani nao dini yao haiwaruhusu ,sasa ukimuona mtu amekamata chupa kama hiyo utasema nini ? (VINGARAVYO SI DHAHABU TU SHABA PIA HUHILIBU)

  [​IMG]  [​IMG][​IMG]
   
 14. senator

  senator JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Picha imepigwa jana kwenye kumtafuta miss reds..na ipo kwenye michuzijr aka jiachie ila ilikuwa balaa vinguo walivyovaa ma miss unaweza kufungulia kwa macho yote matatu!!
   
 15. senator

  senator JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  [​IMG]
  JIACHIE
   
 16. senator

  senator JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  [​IMG]
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :confused2::confused2::confused2: ukiona umetingwa na kiu na uko sehemu ambayo hamna hata kibanda ama nyumba, basi jitulize na kilichojirani nawe,
  heheheeeeeeee heeeee naamu kiti moto a.k.a mbuzi katoliki a.k.a hassan ni haramu kwenu, lakini mkiona njaa basi tumieni kidogo kwa kuziokoa nafsi zenu na mauti ya njaaa
   
 18. senator

  senator JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  [​IMG]
  Hapa alikuwa kaiweka chini mana hizi za chupa huwa zinachosha mikono unaweza kuota msuli wa mkono ukizizoea sana...
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Umejuaje kama ni sheikh,hata Wahaya wakristo,wapagani na waislamu huvaa kanzu
   
 20. senator

  senator JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hivi ni kweli wachonga O kwenye midomo ni wazee wa sambi?..nimeona kama fisi wapo kwenye kundi moja hapo
   
Loading...