Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,164
- 24,628
Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya anachofanya mwaipopo unayemuita shekhe?