The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,028 Reaction score 117,543 Jun 9, 2026 #81 soldier MAN said: Hivi karibuni namuoa seran,tutafunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu napenda kuwaarika wana jf wote.hv karibun seran atatangaza tarehe ya ndoa yetu. Click to expand... Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me
soldier MAN said: Hivi karibuni namuoa seran,tutafunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu napenda kuwaarika wana jf wote.hv karibun seran atatangaza tarehe ya ndoa yetu. Click to expand... Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 8,654 Reaction score 14,066 Jun 9, 2026 #82 Kwani wewe inakuumiza nini?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,066 Reaction score 166,584 Jun 9, 2026 #83 The Icebreaker said: Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me Click to expand... Naunga mkono hoja
The Icebreaker said: Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me Click to expand... Naunga mkono hoja
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,333 Reaction score 37,771 Jun 9, 2026 #84 Utoto raha sana, tuliopo humu zaidi ya miaka 15 ni kawaida sana, hizo trend huwa zinakuja na kuondoka!
Utoto raha sana, tuliopo humu zaidi ya miaka 15 ni kawaida sana, hizo trend huwa zinakuja na kuondoka!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Jun 9, 2026 #85 Ngoja aje... Cc: Mahondaw