Huyu Seran kila thread yupo

Mfano mimi nikiingia JF hua naingia kwenye Trending,naweza kuchangia mada bila hata kujua nipo jukwaa gani,

Hata majukwaa ya JF hua siyajui sana coz toka nimejiunga JF hua naingia kwenye Trending moja kwa moja,

Sasa hapo mtu anaweza kuona nipo kwenye kila jukwaa,wakati mimi mwenyewe wala siyajui majukwaa yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…