Huyu Samaki Anaitwaje Wakuu. Thanks.

Natamani niwe na account mbili, nikijibu kwa hii mnaweza kuniokota kwenye kiroba
 
Natamani niwe na account mbili, nikijibu kwa hii mnaweza kuniokota kwenye kiroba

Halaf huko huko kwenye maji anapoishi huyo samaki. Lol.
 
Hamna mkuu.

Najua kuna tasi, changu, perege sjui perege, wapo kambale wana ndevu wale ila huyu mpaka sasa bado sjajua jina lake mkuu.

Msaada please.
Anapatikana maji yepi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…