Hii comment haiwezi pita hivi hivi.
Wafanyabiashara na matajiri dunian wanazo record za alianza hapa,akatumia fursa hii,pale alishindwa,mwaka uliofuta alinyanyuka tena na mengi mengineyo.
Leo tanzania kijana aliyemaliza chuo kikuu miaka mitano iliyopita ktk fani ya sheria kawa tajiri mkubwa.je pesa kapata kutokana na fani yake?wapi alipoanzia biashara?je wapi anako kopa wengine hawana vigezo?.vituo vya mafuta,supermarket,magari ya mizigo,majengo vyote vya mtoto wa rais sasa tukihoji uhalali wake!TUNAONEKANA TUNA WIVU,AU WATU TUSIOJALI MAENDELEO YETU NA KUJADILI YA WENGINE.mbona hatuwajadili watoto wa Mengi,Bakresa?
HATA SHETANI ANA WATETEZI WAKE