Huyu Remote wa JF ni shida

Huyu Remote wa JF ni shida

:horn:Heshima kwenu wadau, kuna jamaa mmoja huku JF anaitwa Remote jamaa ni noma sana kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia nyuzi zake pamoja na comments anazoziweka humu. Ilibidi nifanye hivyo baada ya kuvutiwa na ki avatar chake ambacho muda wote kinacheza (bila muziki) yani kama unataka kucheka mtafute huyu jamaa!:glasses-nerdy:
avatar kali ni hii yangu hakunaga JFnzima
 
Yupo mwingine anaitwa Watu, nae avatar yake ni shiida!
 
Last edited by a moderator:
Na yule mwenye avatar ya dogo anayetembea huku amebeba bendera ya taifa begani ni nani vile?
 
Back
Top Bottom