Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Heshima kwenu wadau,
Kuna jamaa m:horn:moja huku JF anaitwa Remote jamaa ni noma sana kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia nyuzi zake pamoja na comments anazoziweka humu. Ilibidi nifanye hivyo baada ya kuvutiwa na ki avatar chake ambacho muda wote kinacheza (bila muziki) yani kama unataka kucheka mtafute huyu jamaa.:glasses-nerdy: