Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
We need good governance system in our lovely country, equal participation in democracy, transparency, freedom of expression, rule of the laws and equal treatments of all people in the country,without favoring a certain peoples.we are tired with blah blah blahhhhhhhhWatanzania ni watu wa ajabu sana. Sasa huyu hapa kaandika sentesi mbili ati naye ni Great Tinker na members wanalaumu tu bila hata kuhoji ni kwa nini mwandikaji au huyo asiyepewa hizo pesa hapewi kwa kigezo gani? Ni umburula tu unaoendelea hapa JF hivi sasa. Kila mahali ni lazima ufuate sheria kama hukupewa jiulize na fuata taratibu. JF inatumika na wapuuzi wachache. Then mnalialia kama kasuku ati hakuna democracy, what type of democracy do you want? Democracy ya kulikumbatia Jambazi Sugu? au serikali kutoa mikopo bila kufuata sheria? What a stupid idea. Wengi wenu mnasukumwa na personal dissatisfaction ya kushindwa maisha na kulikumbatia jambazi Sugu mlilouziwa kwenye gunia na Mbowe.
We need good governance system in our lovely country, equal participation in democracy, transparency, freedom of expression, rule of the laws and equal treatments of all people in the country,without favoring a certain peoples.we are tired with blah blah blahhhhhhhh
So you pretend you don't know eeeh. We need equal treatments to all people in our country.So who had been favoured?
Wataiba kura tu mkuuPole sana kama ulitupa kura yako kwa hiri rimjamaa!
Tangu lini CCM waliwahi kusema ukweli? Hivi wewe ulimwamini alichokuwa akisema?
Lakini kwa vile Mitanzania mingi haijifunzi tokana na makosa mwaka 2020 yatakuwa ni yaleyale!
we are not guaranteed when mambo yatakua mazuri. labda ni miaka 20 ijayo?Rais Magufuli hakugeuka ila hali ya nchi alipokabidhiwa alikuta hakuna pesa kabisa .
Ninaimani na Rais Magufuli pindi mambo ya kiuchumi yakiwa mazuri tutegemee neema
If you cannot answer a simple question like that you do not deserve to be in this Forum. Do not assume what you know is a common knowledge.So you pretend you don't know eeeh. We need equal treatments to all people in our country.
Mkuu huyu?MTOTO WAKE ALIPATA MKOPO KWA VIGEZO GANI?
I deserve to be here and comment anything I want without any restrictions and as long as i follow all rules of JF. It seems ua dictator you don't respect other people's argument. You need to change, it's a free world,choice. And if you don't have common knowledge you need to learn and understand clearly before commenting ua blah blah in JF.If you cannot answer a simple question like that you do not deserve to be in this Forum. Do not assume what you know is a common knowledge.
Ila we mwepesi!Watanzania ni watu wa ajabu sana. Sasa huyu hapa kaandika sentesi mbili ati naye ni Great Tinker na members wanalaumu tu bila hata kuhoji ni kwa nini mwandikaji au huyo asiyepewa hizo pesa hapewi kwa kigezo gani? Ni umburula tu unaoendelea hapa JF hivi sasa. Kila mahali ni lazima ufuate sheria kama hukupewa jiulize na fuata taratibu. JF inatumika na wapuuzi wachache. Then mnalialia kama kasuku ati hakuna democracy, what type of democracy do you want? Democracy ya kulikumbatia Jambazi Sugu? au serikali kutoa mikopo bila kufuata sheria? What a stupid idea. Wengi wenu mnasukumwa na personal dissatisfaction ya kushindwa maisha na kulikumbatia jambazi Sugu mlilouziwa kwenye gunia na Mbowe.
Mwepesi sana we dada.Unafiki upi? That does not make me mnafiki? Yeye Jambazi sugu pamoja na mambo mengine yote alijiuzulu kwa sababu ya kutokuweza kujitetea na uvundo wake, sasa wewe unataka tumsafishe. I mean you lancanshire ndio uliona mwezi ulipofika huko Lancanshire ulikochagua jina na kufikiri unaweza kutisha wengine ooops kutoa maoni yenye busara kumbe ni 0% kwa sababu ya kuchagua jina, I feel sorry for you. Mimi sio mnafiki lakini nafahamu fika uliuziwa Mbuzi kwenye gunia na hukushituka kwa sababu wewe ni moja wao katika chama cha kikabila. Huo ndio unafiki wenyewe, umekuwa mnafiki wa kupitiliza. Utapiga genge hapa lakini hutaambulia kitu kwa sababu tulio wengi ni werevu kuliko nyinyi punguani ambao mnafikiri ubinafsi wenu ndio nyenzo ya kujitajirisha. Imekula kwenu.
Wanachema ndio niniReally? What a lie! Hizi shule zina tabu sana, yaani hata lugha tu ni tabu then ndio hawa wanasema ooooops wanachema ndio wataitoa hii nchi kwenye umasikini?
we dada mwepesi kama unyoya.So, who had been favoured?
Siwezi kushangaa kama unaweza kukosa adabu kwa wazazi wako.wajinga kama nyinyi ndo mnaompa kichwa
Duuu very very mwepesi.If you cannot answer a simple question like that you do not deserve to be in this Forum. Do not assume what you know is a common knowledge.
I deserve to be here and comment anything I want without any restrictions and as long as i follow all rules of JF. It seems ua dictator you don't respect other people's argument. You need to change, it's a free world,choice. And if you don't have common knowledge you need to learn and understand clearly before commenting ua blah blah in JF.
Anzisha thread yake that commentWewe umemuona huyu tu tuanze na yule wa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA vipi?
bado mwepesi.What a s t u p i d response, you insinuated that there is somebody who had been favoured and you do not want to say the circumstances of that favouritism, yet you want to argue based on that one secretive idea. Does that ring some bells in your mind? The comments you have made are irrelevant to the subject and you are full of distortion, no wonder you start to claim dictatorial attitude and the likes. You do not know what you are arguing about.
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Sasa huyu hapa kaandika sentesi mbili ati naye ni Great Tinker na members wanalaumu tu bila hata kuhoji ni kwa nini mwandikaji au huyo asiyepewa hizo pesa hapewi kwa kigezo gani? Ni umburula tu unaoendelea hapa JF hivi sasa. Kila mahali ni lazima ufuate sheria kama hukupewa jiulize na fuata taratibu. JF inatumika na wapuuzi wachache. Then mnalialia kama kasuku ati hakuna democracy, what type of democracy do you want? Democracy ya kulikumbatia Jambazi Sugu? au serikali kutoa mikopo bila kufuata sheria? What a stupid idea. Wengi wenu mnasukumwa na personal dissatisfaction ya kushindwa maisha na kulikumbatia jambazi Sugu mlilouziwa kwenye gunia na Mbowe.
Mkuu mbona hueleweki unachopigania? Hapa JF huwa tunashindana kwa hoja.mimi nimetoa hoja yangu nipinge kwa hoja.Really? What a lie! Hizi shule zina tabu sana, yaani hata lugha tu ni tabu then ndio hawa wanasema ooooops wanachema ndio wataitoa hii nchi kwenye umasikini?