😂😂😂😂Sema sana omba yasikukute! Hili swala la kumwaga nje ni tofauti sana na uhalisia
Dhambi ni mzigo mzito sanaKiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Huyo mtu aweza kuwa ni wewe mtoa mada, umetuchomekea kwa kutumia third party!Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Atumie kiswahili gani kumjulisha mke?Nikajua mama mkwe.
Kumbe rafiki tu.
Tena anza kumwambia mkeo Ili asipate hofu siku akisikia kwa watu. Umbea unaimiza.
Pole sana ndugu yangu ndio chaguo lako hilo.Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui chakufanya maisha anayoishi kwasasa ni ya utumwa!, huyo mwanamke akimpigia simu kwamba sasahivi anamuhitaji aje inabidi tu aende maana anaona akibisha basi anayamwaga hadharani.
Akimuuliza kwanini aliamua kubeba mimba huku akijua ni mume wa rafiki yake hatoi jibu!, ana mute kama vile mtu asiesikia!. Jamaa anaona hili zimwi litamtoa roho! Alichoamua ni kwenda nae anavyotaka ili walau siri ijifichefiche japo ndio hivyo mama kijacho haeleweki muda wowote anaweza kutoboa siri and she don't care!.
Alivyoniuliza mimi afanye nini kusema ukweli sijapata jibu lakumjibu ili aweze kujikwamua hapo!, wadau vipi jamaa afanye nini..??
Inaweza kugombanisha familia mzimakuzaa na mdogo wa mke,,,,,timbwili lake si mchezo.
Ishu SI make tuu vipi kuhusu rfkAtumie kiswahili gani kumjulisha mke?
Vipi kuhusu rfk yake,Kitu ambacho huwa nakikataa ni kuishi kwa hofu ndio maana michezo hatari kama hii ambayo inakufurahisha kwa dakika na kikuletea majuto milele huwa naiepuka sana.
Unajua kabisa kuwa huyo ni mtu wa karibu wa mkeo na ukipanda mbegu lazima izae, ila umekazana tu.
We mkatae na mkane tu. Maana huna uhakika kama mimba ni yako. Wanawake wa siku hizi wana wajanja sana, kwakiwa ulikuwa mlikuwa mkihondomola basi akipata mimba hata kwingine basi utatumika tu kumuwezesha kiuchumi.
Mkatae na mwambie asikuharibie ndoa yako. Mlataze mkeo aache mazoea na huyo rafiki yake. Mkane mpaka dakika ya mwisho.