eKaka lusungo hebu pita mitaa hii.
....Kaka lusungo hebu pita mitaa hii.
Kwani ilienda wapi?....
......aiseeeh J4 imerudi
......Pogba Alitucost Pesa Mingi Sana,ila Sasa Thamani ya Pesa Yetu Haionekani!
Ukijua Huu,Wenzio Wajua Hule!......
.....ha ha ha binadamu haishiwi maarifa
Tungefanya Usajiri,ila Pesa Hamuna Si Unajua Timu Imepata Hasara Baada ya Hisa Timu Kushuka!Matokeo Mabovu ya Mfululizo Yamewakimbiza Wengi!Labda Tusubiri Mkataba Wake Utakapo Expire 2020!Labda Twaweza Mwachia Aende!Makala fupi nzuri na yakufikirisha zaidi,tujiulize sisi mashabiki ni nani alimsajili pogba?ni shilling ngapi zilitumika? Na je tunauzoefu na usajili wa dirisha dogo?mana huyu kasajiliwa dirisha dogo masaa machache kabla usajili kufungwa !!!