Huyu Onana kwenye YouTube anatisha

Huyu Onana kwenye YouTube anatisha

​


Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Bado hatujasahau
FB_IMG_16875218118400543.jpg
 
Hawa ndio wachezaji wanaokuja kufanya maajabu sababu kaja bila pressure
 
Back
Top Bottom