Huyu ni wakuoa kweli?

Ushasema wa kanda maalumu hiyo romantic utapata wapi? Hapo vita ni vita mura
 
Inataka moyo kuishi na mtu ambae hajui asante nilishawah kuishi na mtu hajui asante samahan wala karibu binafsi niliona kama najipendekeza tu nilishindwa kuishi nae
Sure
Huu usahili wa awali umeisha tumekosa mgombea
 
Mkuu kama ni mjasiria mali mzuri huyo anafaa kuoa.Ukimpa mtaji atahakikisha anaparangana kuzalisha na mwishowe kama familia mnaweza kusonga mbele.Hazo kasoro ulizotaja ni ndogo ndogo zinarekebishika.Songa mbele mkuu umuweke malkia ndani.
 
Kiaje kaka
Mwanamke kama huyo ndio mzuri kuoa, kwa maana inaonekana anabidii kwenye kutafuta, na hata ukimtumia kidogo anaridhika nacho na kushukuru kimya kimya vile vile ni mficha siri, shukuru huyo ambae halopoki mpaka umuulize, kuliko kuja kumpata ambae kidogo umtumiacho atakuja juu na kuropoka badala ya kushukuru au kukaa kimya. Muda mwingine kukaa kimya ni busara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…