Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,054
Huyu jamaa picha yake inanifurahisha Sana, na sijawahi kukuta anacheka. Mwenye kujua historia yake please! Ni mbongo au, na alipatwa na Nini hadi alie hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app