Huyu ni mtu pekee anayefahamu vyema yanayotokea Kibiti na Ikwiriri na huenda akawa na majibu yake

Ug="Lavrov Sergey, post: 21255810, member: 433508"]Ugaidi hauangalii dini. Kule Iraq,Syria,Egypt wanakouana hovyo,wale wote ni muslims. Hvyo yawezekana wewe ndio mpumbavu. Hujui kitu.[/QUOTE]
Pengine kuna aina nyingi za ugaidi kulingana na malengo husika,kule Kenya katika mojawapo ya matukio ya ugaidi Alshababu waliwatenga abiria,waislam walisalimika wasio waislamu wakapigwa risasi!
 
Wanachokifanya wafugaji ambao ni wahamiaji huko kusini ni unyanyasaji na uonevu kwa wenyeji. Hili litaleta shida Leo , kesho na kesho kutwa.

Ni jambo la hatari sana kama mtu anaweza kutembea na mifugo kutoka Mwanza au Arusha na kuhamia nayo ikwiriri au rufiji au morogoro na kuiswagia kwenye shamba la mtu anayemkuta huko. Huu ni zaidi ya uonevu.

Ni wakati muafaka sasa kuzuia ufugaji wa karne ya 9 ya kuswaga mifugo eti wanatafuta malisho 800km
 
Mwaka 2012, Huko Ikwiriri wakati wa mapigano ya wakulima na wafugaji, aliyekuwa kamanda wa operesheni maalumu wa jeshi la polisi SACP Simon Sirro alitumwa kwenda kuweka mambo sawa.

Sirro akazungumza na wakulima, wafugaji, viongozi na polisi wa ikwiriri, lakini cha ajabu kidogo(kwa viongozi wa Tanzania), Simon Sirro alifanya jambo nadra kulifanya kwa viongozi wa kiafrika.

Akitoa majumuisho ktk mkutano wa hadhara akawatuhumu jeshi la polisi wa Ikwiriri Kuwa ndo chanzo cha mgogoro huo, kwani wamekuwa wakichukua "maziwa" kwa wafugaji na kusababisha kutotenda haki.

Akaendelea kuwalaumu polisi kuwa wanapaswa kutenda haki na "hali hiyo ikiendelea italeta shida na shaka siku za mbele".

Leo ni miaka mitano tumeona utabiri wa Simon Sirro, Mauaji ya polisi, viongozi wa chama dola na serikali wakiwa ni walengwa zaidi.

Hata ukweli upingwe vipi ila kwa sura ya nje Kibiti na Ikwiriri Kuna tatizo kubwa, huenda kuna kundi linalipa kisasi kwa uonevu walioupata mahala.

Kwa sasa ni mtu mmoja tu anaweza kutumia akili, uwezo na busara zake kuweka mambo sawa Kibiti, ni kamanda wa polisi wa mkoa wa DAR ES SALAAM wa sasa ndugu yangu Simon Sirro.

Nina hakika hata jeshi la polisi likiamua kufanya reform na likafanya mapinduzi ya kimuundo na kiutawala ili kujiweka ktk hali ya kukwepa lawama na chuki dhidhi yake kama raia kubambikiwa kesi, kujiingiza ktk siasa, matumizi makubwa ya nguvu, changamoto za ndani ya jeshi nk. huenda huyu bwana akaweza kuwa ni kiongozi wa mabadiliko hayo.
Usipotezee! Tatizo ni ugaidi wa watu Fulani ambao hatuwataji IMANI yao ili kutunza mshikamano na umoja wa kitaifa!
 
Kama ni solution ndo munataka basi wahamishwe wote wapelekwe kwingine hukoo.

Najinywe kiroba change hapa.
 
Solution ni kujenga kambi kubwa ya kijeshi huko ikwiriri/kibiti otherwise tutegemee matukio ya mauaji kuwa mengi zaidi....
Hii sio solution ...inapaswa kiini cha hilo tatizo kipatikane....kunaweza kukawa na kambi kubwa but still mambo yakaendelea as usual...
 
Hahahaaaa, mkuu, kunahitajika uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tatizo ili tatizo hilo lisienee sehemu nyingine za nchi. Nguvu kubwa za kijeshi zinaweza kuwaumiza na wasio husika hivyo kuchochea moto zaidi.
hakuna niliposema nguvu kubwa ya kijeshi itumike bali nimesema ijengwe kambi kubwa ya kijeshi.
 
Mimi siamini hilo. Kwani hiyo kambi ikijengwa huko na hao raia watakuwa wakiishi kwenye hiyo kambi? Liko tatizo ambalo ni lazima litafutiwe dawa. The issue is tatizo ni gani? Intelligence waingie kulisaka basi. Otherwise hata ukijenga ikulu pale haitasaidia
Umeshawahi kupita hyo barabara kutoka vikindu mpk rufiji?
 
Bna Handeni...,Amboni mapangoni.....nako zijengwe kambi?, kambi za jeshi haziwezi ondoa vinyongo na chuki dhidi ya udhalimu. Ni HAKI pekee ndio inaweza kutuliza nyoyo za watu na kuwapa utulivu na Amani.
msichukulie kirahisi haya mambo nyie watu,yani raia waue polisi na kichukua siraha eti kisa ni vinyongo? real? came on boy!!!!!!
 
Tujiulize
Unakumbuka saga la vikindu? je unajua kwa nini wamechagua ukanda huo vikindu to rufiji/kibiti? umeshawahi kupita hiyo barabara? the only solution ni kambi tu ya jeshi ili kuleta utulivu wa hayo maeneo na wakihamia kwingine serikali ina mkono mrefu.
 
Nchi haiendeshwi hivyo kwamba kila penye vurugu ijengwe kambi kubwa ya kijeshi.
Namlaani sana Mwigulu kung'ang'ania kuanzisha kanda maalum ya polisi huko kama suluhisho wakati tatizo linaanzia kwake
We niaje,ushawahi kuona nacomment kila penye vurugu pajengwe kambi ya jeshi? ungeku na akili ungehoji kwa nini nasema ijengwe kambi ya jeshi? ili upate ufafanuzi. EBO!
 
Solution ni kujenga kambi kubwa ya kijeshi huko ikwiriri/kibiti otherwise tutegemee matukio ya mauaji kuwa mengi zaidi....
Nafikiria ujamuelewa vizuri mleta mada kaka hata wakijenga kambi kubwa kiasi gani km wataendeleza dhuruma bila shaka matatizo yataendelea kuwepo kifupi dhuruma imekuwa nyingi sna kwa jeshi letu kwa raia zao mfano mdogo huyo kijana wa kurasini ameuliwa bila kuwepo ushahidi wala kuwa na silaha yyote dhuruma kosa ni kuwa na ndevu na kuvaa kanzu...
 
Sidhani kama your assertion has even the slightest of truth.Yaani Polisi kuchukuwa maziwa kwa wafugaji bila hulipa ndio
i-generate so much hate mpaka kiasi cha watu kuchukuwa silaha na kuua Polisi na viongozi wa Chama!So you mean wanaofanya haya mauaji ni Wamasai?Maana ndio wafugaji.No, haingii akilini.Kinachoendelea na kilichoko Rufiji ni extreme hate ambayo inaweza tu kuwa generated among other things na imani za kidini.Sina shaka yeyote kwamba kinachoendelea Rufiji ni religious extremism equivalent to that of Nigeria and Somalia.That is the truth,although frightening.The government must extend its muscle now and get rid of this menace before it is too late.Unnecessarily buying time will just make matters worse.
 
Since then Sirro has evolved into an entirely different person and a very unprofessional policeman. How on earth could he be a party to the ill-fated and shameful circus dubbed war on drugs.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom