ni mdudu aliye katika hatua ya larva (kiwavi) katika makuzi yake kabla ya kuwa mdudu kamili....akishatoka hatua hiyo anaingia hatua nyingine iitwayo 'buu' (pupa), na kisha kuwa mdudu kamili.Huyo anaitwa bashite hata huku kwetu kolomije wako wengi sana
Hiyo ndiyo ilikuwa hofu yangu na mimi.Anakaribia kufanana na kifutu
Mkuu umetishaAnaitwa daudiphobias ni hatar sana hyo mdudu
Pasina shakaAkikung'ata wafwaaa
Hizo hatua nazielewa mkuu.ni mdudu aliye katika hatua ya larva (kiwavi) katika makuzi yake kabla ya kuwa mdudu kamili....akishatoka hatua hiyo anaingia hatua nyingine iitwayo 'buu' (pupa), na kisha kuwa mdudu kamili.
Aisee mkuu bora umeficha uso wakoMbona namuona kama chui vile [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Aiseee hapo tu kwenye rangiatakuwa Genus SHILAWADU Phylum D.A.B
Sawa mkuuUmewahi kuwaona wa aina kama ya huyo hapo mwenye vichwa viwili?
Kwa ajili ya kumbukumbu, ukiwaona tena wapige picha.
Hyo itakua species mpyaKimeonekana katika mji wa Santa Fe huko Argentina
Duh!!!.Nyoka ndumi la kuwili mkuu
Hata nami nina mashaka kuwa huenda akawa aina mpya ya mduduHyo itakua species mpya
Huyu atakuwa nyoka alizaliwa njiti yaani kabla hajatimiza siku za kuzaliwa
Nauli ya kwenda k/koo Ina nishinda ya kwenda huko Argentina si matusi hayo,labda wakilete huku na babu yangu aweze kukishangaa kabla haja aga Dunia ili akapate cha kusimulia huko kuzimu.ha haha mkuu naomba ukakihoji wewe
Nitatuma maombi yakoNauli ya kwenda k/koo Ina nishinda ya kwenda huko Argentina si matusi hayo,labda wakilete huku na babu yangu aweze kukishangaa kabla haja aga Dunia ili akapate cha kusimulia huko kuzimu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyo ni nyoka ila ni andunje
Ita kuwa poa sana ila analia usije kujikuta Centro kwa ajili ya hayo maombiNitatuma maombi yako
Hahahahaaa hahhahaaaaaNauli ya kwenda k/koo Ina nishinda ya kwenda huko Argentina si matusi hayo,labda wakilete huku na babu yangu aweze kukishangaa kabla haja aga Dunia ili akapate cha kusimulia huko kuzimu.