Huyu ni mdudu gani?



Mdudu huyu wa ajabu kama mnavyomwona, ana vichwa viwili ambacho kimoja kipo mbele na kingine kipo nyuma (mkiani). Kimeonekana nchini Argentina katika mji wa Sante Fe.
Huyu atakuwa nyoka alizaliwa njiti yaani kabla hajatimiza siku za kuzaliwa
 
mkuu tusubirie agentina wampe jina huku kwetu sijamuona
Na kwa nn tusubirie paka Argentina wampe jina,huko ni kupoteza muda,mm naona ni vzuri waki kihoji,kitaje jina lake mwenyewe,wapi kina toka,wapi kina enda na kwa dhumuni gani?...na muda wote kilikuwa wapi paka kina kuja kustaajabisha watu Sasa hivi....
 
ha haha mkuu naomba ukakihoji wewe
 
JF Raha sana
 
Hapo kwenye rangi umeenda mbali mkuu.
Tafadhali mtake radhi mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…