Huyu ni machinga kweli au ni jasusi?

Huyu ni machinga kweli au ni jasusi?

Huyo mama yake ni mhaya na baba yake ambaye ni mzungu alimtelekeza,mtanzania huyo na anakigonga kihaya kuliko hata mhaya aliyekulia dar
 
Jasusi wa senene huyo.

Inabidi nawe uwe jasusi kwa nchi yako ili uweze kujua kama yupo kwa nia njema nchini.

1:Fahamu jina lake.
2:Asili yake.
3:Elimu yake.
4:Umri.
5:Mawasiliano.
6:Mtaji wake.
7:Anapoishi.
8:Mahusiano yake na jamii.
9:Uzoefu wake hapa Afrika.
10:Jenga urafiki naye.
11:Uvumilivu wake.
12:Historia yake.
13:Mahusiano kama anayo.
14:Ratiba zake/kulala na kuamka.
15:Aina ya vifaa alivyonavyo.
16: Maisha ya pale anapoishi je kuna vitu vya kudumu (ni maisha ya kudumu).
17:Udhaifu wa mwili wake.
18:Chakula chake na huwa anakula muda gani.
19:Anajua Kiswahili.
20:Tabia za nje.

Jitahidi ufahamu hayo mambo 20 akifanikiwa utakuwa na majibu ni jasusi au mkimbizi.
Itafahamika tu 😀.
 
Alieandika mtiririko huo juu,hatimae nimemfahamu. Huyu anaweza kuwa sijui nimwite jasusi au usalama. Any way atasema mwenyewe anapenda lipi aitwe. Lakini ndio hivyo. Hata akikataa
Humu jamvini humu 😀
 
Back
Top Bottom