Huyu ni machinga kweli au ni jasusi?

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
965
3,277
Location Stand ya Bukoba

Raia huyu wa kigeni alionekana akiuza vinywaji kwenye basi, je huyu ni machinga kweli ?

tanzania_buses-20190530-0001.jpeg
 
Location Stand ya Bukoba

Raia huyu wa kigeni alionekana akiuza vinywaji kwenye basi, je huyu ni machinga kweli ?

View attachment 1112284
Mkuu umefikiri mbali, wengine wangeanza kusema mbona anaziba riziki wa watanzania. Wazungu janja janja nyingi sana huwezi kuja Africa kuwa machinga tu! bila agenda iliyojificha, naamini hili litafanyiwa kazi ipasavyo!
 
Jasusi wa senene huyo.

Inabidi nawe uwe jasusi kwa nchi yako ili uweze kujua kama yupo kwa nia njema nchini.

1:Fahamu jina lake.
2:Asili yake.
3:Elimu yake.
4:Umri.
5:Mawasiliano.
6:Mtaji wake.
7:Anapoishi.
8:Mahusiano yake na jamii.
9:Uzoefu wake hapa Afrika.
10:Jenga urafiki naye.
11:Uvumilivu wake.
12:Historia yake.
13:Mahusiano kama anayo.
14:Ratiba zake/kulala na kuamka.
15:Aina ya vifaa alivyonavyo.
16: Maisha ya pale anapoishi je kuna vitu vya kudumu (ni maisha ya kudumu).
17:Udhaifu wa mwili wake.
18:Chakula chake na huwa anakula muda gani.
19:Anajua Kiswahili.
20:Tabia za nje.

Jitahidi ufahamu hayo mambo 20 akifanikiwa utakuwa na majibu ni jasusi au mkimbizi.
 
CIA bhana mbona washamba hivo. mtu mweusi anamalizana na mtu mweusi sio mweupe.
 
Sometime ni wabongo tu , Tabata wapo wamezaa na wazaramo wanacheza midundiko tu, msufini Moro wapo wanaponda kokoto kwa mikono wapate riziki
 
Jasusi wa senene huyo.

Inabidi nawe uwe jasusi kwa nchi yako ili uweze kujua kama yupo kwa nia njema nchini.

1:Fahamu jina lake.
2:Asili yake.
3:Elimu yake.
4:Umri.
5:Mawasiliano.
6:Mtaji wake.
7:Anapoishi.
8:Mahusiano yake na jamii.
9:Uzoefu wake hapa Afrika.
10:Jenga urafiki naye.
11:Uvumilivu wake.
12:Historia yake.
13:Mahusiano kama anayo.
14:Ratiba zake/kulala na kuamka.
15:Aina ya vifaa alivyonavyo.
16: Maisha ya pale anapoishi je kuna vitu vya kudumu (ni maisha ya kudumu).
17:Udhaifu wa mwili wake.
18:Chakula chake na huwa anakula muda gani.
19:Anajua Kiswahili.
20:Tabia za nje.

Jitahidi ufahamu hayo mambo 20 akifanikiwa utakuwa na majibu ni jasusi au mkimbizi.
Du uo sio utakuw ujasusi wenye element za kishirikina na udada ndani yake.yaani itakuw flavour+
 
Back
Top Bottom