Huyu ni machinga kweli au ni jasusi?

Huyu ni machinga kweli au ni jasusi?

Jasusi wa senene huyo.

Inabidi nawe uwe jasusi kwa nchi yako ili uweze kujua kama yupo kwa nia njema nchini.

1:Fahamu jina lake.
2:Asili yake.
3:Elimu yake.
4:Umri.
5:Mawasiliano.
6:Mtaji wake.
7:Anapoishi.
8:Mahusiano yake na jamii.
9:Uzoefu wake hapa Afrika.
10:Jenga urafiki naye.
11:Uvumilivu wake.
12:Historia yake.
13:Mahusiano kama anayo.
14:Ratiba zake/kulala na kuamka.
15:Aina ya vifaa alivyonavyo.
16: Maisha ya pale anapoishi je kuna vitu vya kudumu (ni maisha ya kudumu).
17:Udhaifu wa mwili wake.
18:Chakula chake na huwa anakula muda gani.
19:Anajua Kiswahili.
20:Tabia za nje.

Jitahidi ufahamu hayo mambo 20 akifanikiwa utakuwa na majibu ni jasusi au mkimbizi.
Alieandika mtiririko huo juu,hatimae nimemfahamu. Huyu anaweza kuwa sijui nimwite jasusi au usalama. Any way atasema mwenyewe anapenda lipi aitwe. Lakini ndio hivyo. Hata akikataa
 
Usijaribu kumfuatilia.tutakukamata unataka uchukue viungo vya mwili wake hapo.Huyo ni Albino na usijemwita zeruzeru atakuripoti sentro.
 
Usijaribu kumfuatilia.tutakukamata unataka uchukue viungo vya mwili wake hapo.Huyo ni Albino na usijemwita zeruzeru atakuripoti sentro.
Acha kuongea upuuzi wewe mshirikina. Bado zama hizi una mawazo hovyo namna hii.
 
Hiv stendi ya bukoba hawajaijengaga bado .

Maana ndo stendi mbaya kuliko zote tz

Hiv serikali kwamba hawapapendi bukoba ama?
 
Machinga ajapigwa jua la kibongo huyo...angalia wengine wanavyobeba hilo beseni ufananishe na huyo anafanya kama anachukua movie...
 
Jasusi wa senene huyo.

Inabidi nawe uwe jasusi kwa nchi yako ili uweze kujua kama yupo kwa nia njema nchini.

1:Fahamu jina lake.
2:Asili yake.
3:Elimu yake.
4:Umri.
5:Mawasiliano.
6:Mtaji wake.
7:Anapoishi.
8:Mahusiano yake na jamii.
9:Uzoefu wake hapa Afrika.
10:Jenga urafiki naye.
11:Uvumilivu wake.
12:Historia yake.
13:Mahusiano kama anayo.
14:Ratiba zake/kulala na kuamka.
15:Aina ya vifaa alivyonavyo.
16: Maisha ya pale anapoishi je kuna vitu vya kudumu (ni maisha ya kudumu).
17:Udhaifu wa mwili wake.
18:Chakula chake na huwa anakula muda gani.
19:Anajua Kiswahili.
20:Tabia za nje.

Jitahidi ufahamu hayo mambo 20 akifanikiwa utakuwa na majibu ni jasusi au mkimbizi.
Ahsante sana kwa kunifungua macho
Nalog off
 
Huyu anafanya kitu kinachoitwa social research kujua ugumu changamoto za hyo biashara watu watamchukuliaje ktk hyo biashara na hyo research anapiga mkwanja mrefu
 
Watanzania bhana yaani wewe kila mzungu ni raia wa kigeni? Huyo ni mtanzania mwenzetu sema mweupe tu
 
Wote hao umekosa picha ili kuaminisha umma!.
Sawa mkuu ila
1. Hiyo ilipigwa na kurushwa ni hao ninaosema sema ile anacheza ngoma mwambie huyo aliyeweka a upload
2. Pia rusha hela ya kulipa TCRA na kwa jamaa mwenyewe kwa sheria za kurusha picha bila idhini. Huyo aliyerusha wamemalizana.
USHAURI wako umechukuliwa
 
Hata Wazungu huwaoa /kuolewa na weusi kama sehemu ya utafiti tu kuhusu mtu mweusi na siyo mapenzi..
Ha ha haaa.
 
Location Stand ya Bukoba
Raia huyu wa kigeni alionekana akiuza vinywaji kwenye basi, je huyu ni machinga kweli ?
View attachment 1112284
Huyu ni chotara wakihaya, baba mzungu mama mbaya. Kumbuka Afrika Kusini enzi hizo walikuwepo ambao sisi tuliwaona wazungu lakini haeakukidhi vigezo na kuonekana weusi. Na hao wabunge tuwaite waarabu majasusi?
 
Back
Top Bottom