Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,140
- 133,158
please stop this!, its like the consecration of the dead!let him rest in peace!You know why the man was influential, even in his death bed but truly speaking Pascal Mayalla the man was ecil
Mushi kimboka ndio nini bwasheemushi kimboka
Pasko kagoma kunipa mbili tatu kumhusu, sasa itabidi twende tu kwake.Mbona unataka kumjua sana jamaa twende kwake jangwani 😂
Funguka acha kuzungukaYou know why the man was influential, even in his death bed but truly speaking Pascal Mayalla the man was ecil
kuna jamaa yangu alikua anaitwa Dr.Sabas mushi kimboka kadanja last yrMushi kimboka ndio nini bwashee
Hapo sawa najua Mushi ndo ukoo mkubwa na wenye nguvu uchagani licha ya baadhi ya maeneo ukienda Kuna koo zinaongoza kwa ukubwa kama kina shirima, tesha tarimo, kimario silayo utajua tuu huyu wa rombo 😂Moshi ipo mkuu sana, mushi ipo na ni ukoo wenye nguvu mno
Hahaha tuna roho ya paka 😅Hapo sawa najua Mushi ndo ukoo mkubwa na wenye nguvu uchagani licha ya baadhi ya maeneo ukienda Kuna koo zinaongoza kwa ukubwa kama kina shirima, tesha tarimo, kimario silayo utajua tuu huyu wa rombo 😂
RIP mwamba!kuna jamaa yangu alikua anaitwa Dr.Sabas mushi kimboka kadanja last yr
Yaani..., we acha tuu!Nimeona umeelezea jamaa alikuwa anamvizia mercy ebu niambie mkuu, bint kida alikuwa aje kipindi Cha udada wake maake km saa hz wa moto tuu 😂
Hakunaga mushi kiazi bwashee 😅😅kuna jamaa yangu alikua anaitwa Dr.Sabas mushi kimboka kadanja last yr
alikua ananiambia wao ndio mushi kimboka yenye Dola hizo mushi zingne ni fake😂
Sasa hz keshakuwa mzee wa makamo Ila anaupenda umjini hatare sanaYaani..., we acha tuu!
P
Hahahaha 🤣 wazee wa kibosho roadHahaha tuna roho ya paka 😅
Wazee wa kisusio kwa sana na mbege nzito 😅Hahahaha 🤣 wazee wa kibosho road
Hahahaha unaijua rombo sauce 😂Wazee wa kisusio kwa sana na mbege nzito 😅
Yeah hakuna sehemu sipajui romboHahahaha unaijua rombo sauce 😂
AusioHakunaga mushi kiazi bwashee 😅😅
Ndio😅Ausio
kuna mstari mwembamba unatenganisha wachaga na druidsNdio😅
Hahahaha 🤣 ukienda Dec usisite kutoa taarifa uje kula kidari cha mbuzi, supu, rombo sauce na mbege kwetu hapo mpakani tuYeah hakuna sehemu sipajui rombo
Kwa nini mkuukuna mstari mwembamba unatenganisha wachaga na druids