Huyu ni Balali?

Huyu ni Balali?

Elisha Ray

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
323
Reaction score
94
Wadau naomba mnisaidie. Hivi huyu pichani ni Balali?



Je, imekuwa 'photoshoped' au jamaa kweli ni mzima? Pia kuna picha nyingine ilikuwa 'inamuonyesha' akifanya shopping katika supermarket huko aliko...
 
mbona haifunguki/hamna picha???? Au unataka kuondoa attention yetu kwenye current issue?
 
Kama Kikwete alidhubutu kwenda kutoa pole kwenye msiba wa Kanumba iweje kwenye mazishi ya huyu mtu hakwenda? kuna utata hapa.
attachment.php
 
Haswaaa...Huyo ni Balali> Hiyo picha ni ya lini?? I used to know Balali very well.
 
Kaazi kweli kweli...hakuna mihimili inayosimamishwa kwa misingi ya uongo....no way!
 
Kichwa kikubwa kuliko mwili. Balali feki.
 
picha ya lini hiyo. mbona tarehe hamna? hata hivyo naamini ndiyo mwenyewe
 
Back
Top Bottom