Huyu Ni Baba Wa Aina Gani....????

Huyu Ni Baba Wa Aina Gani....????

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,130
rasta.jpg
 
Anasali hapo, dini yetu ya rastafari inabariki na kutukuza matumizi ya weed.

Hiyo ni sakramenti maalumu kwetu na haitakiwi kuvutwa hovyohovyo tu
 
canabis sativa...da wisdom weed gwata man...
 
Mimi nadhani yuko sawa...kwa sababu mzazi umpa mtoto kile anachoamini ni kizuri.... Tafsiri yangu huyu rasta anaamini bangi au sigara ni nzuri...anamshirikisha mtoto kizuri anachokipenda. Tumsaidie baba ajue madhala ya hicho anachopenda ndo tuanze kumlaumu iwapo atakuwa amekubali kuwa sigara/bangi si nzuri
 
Huyo sio baba nahisi ni jirani tu au mpita njia....baba wa ukweli hawezi fanya huo ujinga...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom