kwa nje kulikuwa kuna mbwa kama watano hivi wamelala tu wanatuangalia hawafanyi kitu. Nikataka nimbusu mmoja.
Anaitwa majele jina alilolichukua kwa Babu yake kigagulaMwenye ufupisho tafadhali
Mshana unazipenda Sana iziiiSimulizi za ulimwengu wa giza hizi.. Ni mpaka ukubali kufunua ufahamu wako ndio unaweza kuzielewa hizi habari. Nasubiri mwendelezo Citizen B
Jr[emoji769]
Si wote tunaotaka kufika huko, it’s not my destinationcha izo wewe wachawi wana dawa ya nguvu za kiume ..utafika penye hujawahi fika
Dah...unakosa mengiSi wote tunaotaka kufika huko, it’s not my destination
Haaaa haaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stori hizi za anayesimulia kasimuliwa na mwenye simulizi naye kasimuliwa.
Haya tuendelee mkuu enhee mlivyo endesha fisi.