Huyu ndo wife material

Huyu ndo wife material

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,920
Sio kukimbizana na vidada duu muda wote kupaka mi lipstik kama wamelamba kisusio
 

Attachments

  • 1395630423504.jpg
    1395630423504.jpg
    106.9 KB · Views: 1,087
Wife material anaenda kukarangiza gongo..hii nayo nadhani iingizwe kwene katiba mpya!
 
Hawa ndio wa kukumbukwa kwenye katiba mpya! Siyo kuwapa uraisi vimeo kina Asha Rose Migiro ...eti ndio kusaidia wanawake!!
 
Labour material sio wife material. Kwani tangu lini sifa za mke ni kuwa punda? Do you guys ever read your holy books?
 
ukioa huyo huna haja ya kufanya kazi

ni kula na kukesha kilabuni
 
Halafu baskeli haina breki...... WA siku hizi hata kuvunja biskuti hawawezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom