Huyu ndo wife material

Huyu ndo wife material

Hilo ni jembe mkuu. Fighter kama fuso vile.
Kabisa sio visichana vya miaka 20-38 siku hizi wao kulalamika tu haki za wanawake na kuiga sheria za magharibi haki zenye we wanaharibu wakipewa uhuru, tizama mwanamke Huyo anajuwa haki ya mwenyezimungu sio ya wapiga Kelele haki mpaka wafundishwe na nchi za nje inaonyesha hawajitambui tizama dada alivyoshupavu Hana muda wa cream za kujichubua na kujizalilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom