Huyu ndo tajiri asiye na mbwembwe

Huyu ndo tajiri asiye na mbwembwe

Ali Hassani

Member
Joined
Oct 30, 2015
Posts
96
Reaction score
39
IMG-20171115-WA0001.jpg
IMG-20171115-WA0002.jpg

Ni mara chache sana kukuta mabilionea kama hawa wakijichanganya na watu wa kawaida uswazi aghalabu hupenda kujiona wao ni wabora zaidi ya wengine. Ila huyu nampa zake pongezi,najua waweza kushangaa kumwita yeye ni bilionea kwani mwenyewe katudhihirishia na katuambia tukae mkao wa kula kuna viwanda takribani 30 vitafunguliwa na kampuni yake ya kimataifa.
Karibu ktk Tanzania ya viwanda Dr.
 
View attachment 631269View attachment 631270
Ni mara chache sana kukuta mabilionea kama hawa wakijichanganya na watu wa kawaida uswazi aghalabu hupenda kujiona wao ni wabora zaidi ya wengine. Ila huyu nampa zake pongezi,najua waweza kushangaa kumwita yeye ni bilionea kwani mwenyewe katudhihirishia na katuambia tukae mkao wa kula kuna viwanda takribani 30 vitafunguliwa na kampuni yake ya kimataifa.
Karibu ktk Tanzania ya viwanda Dr.
Jamani, Give thw guy a break now! Ana haki ya privacy yake nae.
 
Huyu jamaa ana pesa kweli amini msiamini.. Kuna mshkaji wangu yupo Urusi imebidi nimpigie amenithibitishia kuwa ni kweli jamaa anahela
 
Acheni ujinga wa kutuona wote malofa.
Hana hela yoyote huyo mgonjwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom