Huyu ndo rais wa watu!

Huyu ndo rais wa watu!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
uploadfromtaptalk1355587420552.jpg
Mwanadada Ray C akimshukuru rais JMK kwa mchango wake katika matibabu ya ugonjwa wake uliotokana na uraibu wa madawa ya kulevya.
 
Mimi Dhaifu, "ingekuwa hiari yangu niongoze hii nchi kwa miaka 5 mingine, ningekuteua uwe mbunge wa viti maalumu, au mkuu wa wilaya, ila usijali nitakutafutia fursa yoyote ndani ya chama."
 
View attachment 75255
Mwanadada Ray C akimshukuru rais JMK kwa mchango wake katika matibabu ya ugonjwa wake uliotokana na uraibu wa madawa ya kulevya.

Kikwete, ikimbie zinaa! Wewe kila polipo na mpasuko we upo! Huyo binti ni malaya, angalia muziki wake yuko uchi kabisa, wewe unajilete karibu naye. Maalim Shaibu anahubiri kiama wiki yote hii TBC1
 
Suala la Ray C kumshukuru Rais na umalaya vinaingilianaje?
Ina maana kumshukuru Rais ndo ameshalala nae?
Unachakachuaga mada kweli kabla hujapost comments zako mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
...... MASHABIKI NDIMI ZIMEWAJAA MATE........! Wanazoza tu!?
 
Suala la Ray C kumshukuru Rais na umalaya vinaingilianaje?
Ina maana kumshukuru Rais ndo ameshalala nae?
Unachakachuaga mada kweli kabla hujapost comments zako mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ndio umalaya
 
watu wa bagamoyo na wahovyo hovyo ikulu siku hizi hata wadudu wanaingia.
 
vipi kuhusu sajuki ,vengu na wagonjwa wengine?
hao watasubiri aje rais wengine!
maana hawana jinsia kama huyu mwengine!
ila tuombe wapone kama wagonjwa wengine!
ata wakifa tutapata wasanii kama hawa wengine
source:kala jeremiah "dear GOD" (2012)
 
Wajawazito wanatakiwa waende na vifaa vya kujfungukia hospitalini kama vile sindano,pamba,uzinadwa mbalimbali tena ni dar sio vijjni......serikali yangu bwana!
 
Of Course, ****** unategemea nini? Penye khanga nyepesi hakosi!!!
 
Back
Top Bottom