View attachment 75255
Mwanadada Ray C akimshukuru rais JMK kwa mchango wake katika matibabu ya ugonjwa wake uliotokana na uraibu wa madawa ya kulevya.
View attachment 75255
Mwanadada Ray C akimshukuru rais JMK kwa mchango wake katika matibabu ya ugonjwa wake uliotokana na uraibu wa madawa ya kulevya.
Suala la Ray C kumshukuru Rais na umalaya vinaingilianaje?
Ina maana kumshukuru Rais ndo ameshalala nae?
Unachakachuaga mada kweli kabla hujapost comments zako mkuu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
vipi kuhusu sajuki ,vengu na wagonjwa wengine?
Aiisee kweli, Suala la Sajuki na Vengu mbona hajang'aa kbs Tena their illness was not man made like Ray C's sickness
hao watasubiri aje rais wengine!vipi kuhusu sajuki ,vengu na wagonjwa wengine?
kuna yule muathirika wa mabomu ya gongo la mboto aliyepooza !vipi kuhusu sajuki ,vengu na wagonjwa wengine?
Vp kuhusu JOT wa ze-comedy?Aiisee kweli, Suala la Sajuki na Vengu mbona hajang'aa kbs Tena their illness was not man made like Ray C's sickness