Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

Mr. T Touch naona anaanza kuishiwa idea za beat, kwenye hii beat ukisikiliza kwa makini kachukua vionjo vya chafu pozi ya Billnass
beat zake zoote zinafanana!!ni bingwa wa ku-sample..
 
Malaika mtoa roho za nyimbo "Juliana Shonza" ataupiga pin ufungiwe

Kwa wakati huu tunataka nyimbo za kumsifu malaika mkuu mtarajiwa baaaaasiiiii
 
Back
Top Bottom