Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

Prof J yupo vizuri na hajawahi kuniangusha toka enzi za Chemsha bongo hadi sasa yupo bungeni na anatoa hit song kama Pagamisa.
 
Aisee inabudi uwe na roho mbaya sana kuona mapungufu ktk ngoma ka hiyoo ..

We jamaa mwanga.
Ni kweli ngoma haiwezi kuwa na kasoro kama kwenye mashairi amesifiwa Tundu Lissu
 
Ujinga tu...hayo mambo ya kina lissu sijui nini yeye kama mbunge ana sehemu ya kuyaongea ambapo ni bungeni na ingemake sense lakini kuyaimba imba ni kuleta unnecessary confusion....kutokujitambua
 
Hosh,.PAGAMISA..Kwala kanjani?kwala chaisana na marubani..Skangaga.Asiyejuwa maana usimwambie maana.
 
Mbunge anayeongoza binadamu na wanyama, kaja vizuri japo wengine wanadai nyimbo haipo kisasa, kiswagg
 
Wewe ulitaka Tundu Lissu afe!?Au ulitaka aseme "piga hata risasi nitatoka kama 50cent au the Game" maana nao walishapigwa risasi!? Kwenda zako huko, kama vipi kashitaki kwa yule kichwa Maji Juliana mfungia wasanii.
Ujinga tu...hayo mambo ya kina lissu sijui nini yeye kama mbunge ana sehemu ya kuyaongea ambapo ni bungeni na ingemake sense lakini kuyaimba imba ni kuleta unnecessary confusion....kutokujitambua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom