Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

Huyu ndiyo Profesa Jay ninayemfahamu

don88

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
53
Reaction score
84
Lejendari mwenye kiota chake ndani ya Tasnia ya Bongo Fleva, Profesa Jay amerudi kivingine. Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu kuanzia kipindi kile cha HBC, kipindi cha Chemsha Bongo, Bongo Dar es Salaam na huu ujio wake wa sasa wa PAGAMISA akiwa na Mr T Touch ameonesha dhahiri kuwa atabaki kuwa mkali kwa miaka yote.
 
Attachments

Wakawaka wakawaka waka....
 
Mr. T Touch naona anaanza kuishiwa idea za beat, kwenye hii beat ukisikiliza kwa makini kachukua vionjo vya chafu pozi ya Billnass
 
Alitukosea sana alipoimba na watu wa singeli, huyu ndo professor J ninaemtaka.
 
Mr. T Touch naona anaanza kuishiwa idea za beat, kwenye hii beat ukisikiliza kwa makini kachukua vionjo vya chafu pozi ya Billnass
Aisee inabudi uwe na roho mbaya sana kuona mapungufu ktk ngoma ka hiyoo ..

We jamaa mwanga.
 
Tokea magetoni uoga nishakataa.Tuchape hata risasi tunatoka kama Tundu lisu, maisha yako kasi na mitikasi ya mwendo kasi Leo umepata kesho umekosa ondoa wasi.

Mbona bunduki mchana kweupe na watu wasiojulikana iko wapi amani yetu, roho ya tajiri kama mengi au kusaga haina shobo dunda shoboka nivunje chaga................

Nimezaliwa kitaa Nina mbinu zote za kutengeneza chapaaa....Nina pagamisa....pagamisa...pagamisa......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom