Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,818
Reaction score
21,042
Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
 

Attachments

  • images - 2026-09-23T113136.874.jpeg
    35.1 KB · Views: 5
  • images - 2026-09-23T113036.451.jpeg
    56.8 KB · Views: 6
Huwa nasikia Nyoka akiuliwa asipofukiwa chini au kukatwa Kichwa Nyoka mwenzake anaweza kumfufua hivi ni kweli hili jambo?
 
Misitu ya Congo na Amazon...imekuwa explored kwa asilimia Less than 5% tu
Kuna maeneo hayafikiki!

Humo kuna nyoka na viumbe wa kila aina ambao hata google haiwatambui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…