Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

Hawa wanyama wenye sumu huwa naskia the more colorful they are ndio wanakuwa na sumu kali zaidi.

Ila kwa mimi nimegoma kushawishika kama nyoka ati nao ni wazuri
 
Nyoka mzuri ni Green Mamba tu, yeye hana ugomvi na mtu akikuona anajificha au anakimbia. Tena akiwa kwenye majani au mti anaofanana nao anatulia kabisa hataki umuone na hata ukimuona muache maana yeye anajua hujamuona. (Camouflage).
 
Back
Top Bottom