Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

Maulid kitenge ni mdau wa sunderland clothing, kwa hiyo kaweka double standard zake, anakula pesa zao kwenye matangazo pamoja na kina antonio nugaz, tatizo la watangazaji wengi wa hapa wanaangalia sana maslahi kuliko ukweli.
Mbona manara nae anaitangaza Sunderland au kina nugaz wakitangaza ni kosa!

Sunderland ni mdau na ni mwanachama wa simba hakuna mechi anakosekana jukwaa la VIP. Nakumbuka hata suti za simba yeye ndie aliepewa tenda.

Hayo mengine nadhani kitenge alitaka kuweka sawa nn kilichotokea. Tuache chuki.
 
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale...
Maulid ni "Host", siyo mchambuzi.

Yeye (akisaidiwa na Ahmed, Mwanaidi na Paul Mkai) ni hosts ambao kazi yao ni kuuliza maswali, kuchokoza explanation.

Wewe kama mwanasimba ukichukia utakuwa umekosea kwa sababu hayo ni maswali upande wetu huku (Yanga) tunawauliza myie mtaani.

Sasa limepatiwa jibu, na tutatulia na kutafuta sababu nyingine.

Huoni, SSC imerahisishiwa kazi? .... jibu limetolewa?

Nadhani anafanya kazi yake vizuri tu. Unauliza maswali ya kinazi, yanapatiwa majibu tunatulia.
 
Kwani juzi Nugaz hakuwepo?
Hujasikia Jerry Muro akibweka siku za karibuni.
We kwani unasikiliza vipindi vyake? Au upo kiubishi zaidi?
Hujajibu swali juzi tuliona mzozo wa mchezaji wa yanga na kocha wake seidou ntokiziba lakini hatukumsikia akizungumzia kwa undani ala amekuwa akizungumzia habari za Simba kiumbea, kumbuka siku ya mwananchi alimtambulisha Morison kama mchezaji wao
 
Swali limejibiwa vizuri sana.

Kitenge ameshaiongelea yanga mara nyingi. Ashazimiwa simu mara nyingi na Bumbuli. Ashamualika Jerry Muro si mara moja kutema cheche. Bakari Jembeulaya, Ali Mayai , Mzee Sunday Manara etc.. wameshatema cheche sana Wasafi FM wakiitwa na kitenge kuhusu Yanga na uozo wao. ndiyo maana nikakuuliza wewe ni msikilizaji?

Siku ya wananchi yeye kumsoma Morrisson ndiyo inasaidia nini?? Imesaidiaje yanga au imeiumizaje Simba??
Kitenge ni yanga na baba yake marehemu anajulikana ni yanga kwani kuna taizo? Hayo ni mambo ya kawaida sema Simba nyie washabiki wengi ni mapolisi mmeanzia ushabiki Depo basi mkija mjini mnaanza ooh, Yanga manyani!
Swine!!!
 
Swali limejibiwa vizuri sana.

Kitenge ameshaiongelea yanga mara nyingi. Ashazimiwa simu mara nyingi na Bumbuli. Ashamualika Jerry Muro si mara moja kutema cheche. Bakari Jembeulaya, Ali Mayai , Mzee Sunday Manara etc.. wameshatema cheche sana Wasafi FM wakiitwa na kitenge kuhusu Yanga na uozo wao. ndiyo maana nikakuuliza wewe ni msikilizaji?....
Tabia za kitenge alizonazo inalekea na wewe unazo ndio maana mapovu yanakutoka
 
Huyu mbwabwaji wenu kila siku kujinasibu oooh simba haishindwi kitu saivi mumefungiwa kusajili kwa msimu mmoja kwa kushindwa kulipa 9m za kotei
 
Mkuu wewe ndo unachuki na Kitenge.
Kwani hapo huoni yeye ndo kasababisha utolewe ufafanuzi mzuri na kila mtu akaelewa?
 
Maulid ni "Host", siyo mchambuzi.
Yeye (akisaidiwa na Ahmed, Mwanaidi na Paul Mkai) ni hosts ambao kazi yao ni kuuliza maswali, kuchokoza explanation.
Wewe kama mwanasimba ukichukia utakuwa umekosea kwa sababu hayo ni maswali upande wetu huku (Yanga) tunawauliza myie mtaani.
Sasa limepatiwa jibu, na tutatulia na kutafuta sababu nyingine.
Huoni, SSC imerahisishiwa kazi? .... jibu limetolewa?
Nadhani anafanya kazi yake vizuri tu. Unauliza maswali ya kinazi, yanapatiwa majibu tunatulia.
Alipoachana na Wake zake Wawili Mmoja wa Bungeni na Yule mwingine wa UN ( kutokana na tabia zake za Kifirauni akiwa anaenda huko Marekani na Dubai ) ndiyo kaamua sasa Kukuoa Wewe?
 
VUNJA BEI JANJA JANJA MTAKUJA NAMBIA SOON......ESP KWENYE QUALITY ETC LABDA MUWE JNA JICHO LA PILI ....
2.Tenda hiyo ilitangazwa lini ama ni short listing tu...
3.Nani walifanya uchambuzi or eveluation
4.Simba wana Tender Board
MASWALI NI MENGI HOPE TAKUKURU WATASAIDIA
 
Back
Top Bottom