Huyu ndiye Waziri Mkuu wetu, msikilize

Huyu ndiye Waziri Mkuu wetu, msikilize

Mfananishe na Waziri mkuu wa Kenya na Uganda halafu angalia substance.inayotoka kwenye vinywa vyao
 
Mfananishe na Waziri mkuu wa Kenya na Uganda halafu angalia substance.inayotoka kwenye vinywa vyao
 
EBU ONA HUU UPUMBAVU MLIOKUWA MKIFANYA HAPA JF

👇🏾
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 8
he is so dumb, ana confirm kile, ambacho wananchi wamekuwa wakikisema siku zote khs ccm na politiburo, kwa hiyo kila kitu ni mazingaombwe tu, mndanganya watu, hiyo ahadi mnazotoa yoote ni michezo tu, wtf ...
 
Nadhani kuna alipoanzia mpaka kufikia hapa. Tunaweza kupata video yote??? Kama ni kwa ajili ya propaganda endelea ila kama ni kutathimini alichoongea unapaswa kuleta kitu kikiwa kimekamilika.
 
Na kwa wakati Huu Tanzania ilikuwa Inamhitaji Sana waziri Mkuu aina ya Mtu Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Kiongozi ambaye huwa haogopi kuusema ukweli hata kama ni mchungu . Kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi

Huyu ni waziri Mkuu ambaye kwake ukweli ndio silaha yake siku zote. Na ndiye watanzania tunamhitaji.

Sasa nyie kama siyo wajinga na mazuzu unaweza vipi andamanishwa barabarani na kijitu kipo huko Marekani? Libaba lizima na mindevu yako unaanza kuingizwa barabarani na kimtu kipo Marekani au kenya halafu unakubali? Hivi mnajitambua kweli nyie?

Nashukuru sana kuteuliwa kwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba kuwa waziri Mkuu. Maana mtanyweshwa kikombe cha Dawa ya ukweli mpaka mpone ugonjwa wa ujinga na umbumbumbu.
 
Back
Top Bottom