TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,302
- 28,016
Hivi ni Waziri Mkuu au Katibu Mkuu mwenezi wa Serikali au Chama?Tumepatwa na jua!
Msikilize na toa maoni
Hivi ni Waziri Mkuu au Katibu Mkuu mwenezi wa Serikali au Chama?Tumepatwa na jua!
Msikilize na toa maoni
Aliyepita Hakuwa msafi kweli? Una uhakika Hakuwa msafi? Unakumbuka maagizo ya aliyepita aliyotoa kwa wafanyakazi wa Wizara ya fedha ambayo Waziri wa wakati huo hakutoa ufafanuzi juu ya posho zisizo eleweka?Nashukuru sana kuteuliwa kwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba kuwa waziri Mkuu. Maana mtanyweshwa kikombe cha Dawa ya ukweli mpaka mpone ugonjwa wa ujinga na umbumbumbu.
Embu ondoa ujinga wako hapa wewe. Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ni akili kubwa ,ni mtu na nusu na hamna uwezo wa kujibizana naye maana hamna akili hiyo hata kidogo. Amefaulu darasani na hata katika uongozi katika kila eneo alilofanya kazi. Hamtafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile. Huyu ni Mr Clean ambaye wengi walijaribu kumchafua wakaishia kushindwa vibaya sana.Mfananishe na Waziri mkuu wa Kenya na Uganda halafu angalia substance.inayotoka kwenye vinywa vyao
Mmezoea kubembelezwa na kudanganywa kijinga. Sasa tumepata waziri Mkuu jasiri asiyeogopa kuusema ukweli. Hayupo hapo alipo kuwabembelezeni. Yupo hapo kuchapa kazi na kuwatumikia watanzania na kutimiza majukumu yote kumsaidia Mheshimiwa Rais . Hakuna kubembelezana hapa.Mimi hao wanaoshangilia ndiyo wananishangaza na kunihuzunisha zaidi,sijui ni ndugu zake au vipi maana maneno hayo kwa jamii inayojielewa ilibidi mpaka anakuja kumaliza kuzungumza ajikute peke yake wote wameshatawanyika.
Lakini yenyewe ndiyo kwanza yanapiga makofi miluzi na kushangilia,mnashangilia ujinga?
Wewe ndio la Hovyo kabisa.Waziri Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea, anaongea kama chawa wa uvccm
Amefanya ziara ya siku chache tu lakini NONDO zake nzito zimewaangamiza kama panya. Amewafumbua macho na akili wananchi na sasa mmebakia mnaweweseka tu maana mnajua hakuna wa kuwaunga mkono kwa ujinga wenu wa kutaka kuvuruga amani ya Taifa letuMwigulu Nchemba ndio atakuwa waziri mkuu wa ovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Wewe hujitambui kabisa wewe. Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu anafahamika na watanzania wote kwa uchapakazi wake,uadilifu wake , uzalendo wake na misimamo yake imara katika kusimamia maslahi ya Taifa letuHuyu mtu hana haiba ya kuwa waziri, let alone u PM. Jpm aliona mbali akamtupa nje. Maajabu sana haya
Unajitambua?umelipwa bei gani mzee mboni unajidharaulisha hivi.CCM ITATAWALA HII NCHI MPAKA ICHOKE IKIWA WAPINZANI MNAJADILI MAMBO KAMA HAYA
Wewe ndiye hata hustahili kujibiwa kichwa kimejaa mavi hicho wewe ni waku-🚮🚮🚮🚮Mmezoea kubembelezwa na kudanganywa kijinga. Sasa tumepata waziri Mkuu jasiri asiyeogopa kuusema ukweli. Hayupo hapo alipo kuwabembelezeni. Yupo hapo kuchapa kazi na kuwatumikia watanzania na kutimiza majukumu yote kumsaidia Mheshimiwa Rais . Hakuna kubembelezana hapa.
Mpe mk*nd* wakoNa kwa wakati Huu Tanzania ilikuwa Inamhitaji Sana waziri Mkuu aina ya Mtu Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Kiongozi ambaye huwa haogopi kuusema ukweli hata kama ni mchungu . Kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
Huyu ni waziri Mkuu ambaye kwake ukweli ndio silaha yake siku zote. Na ndiye watanzania tunamhitaji.
Sasa nyie kama siyo wajinga na mazuzu unaweza vipi andamanishwa barabarani na kijitu kipo huko Marekani? Libaba lizima na mindevu yako unaanza kuingizwa barabarani na kimtu kipo Marekani au kenya halafu unakubali? Hivi mnajitambua kweli nyie?
Nashukuru sana kuteuliwa kwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba kuwa waziri Mkuu. Maana mtanyweshwa kikombe cha Dawa ya ukweli mpaka mpone ugonjwa wa ujinga na umbumbumbu.
Kwani kwa sasa kutawala nchi hii ni hoja ama mtutu wa bunduki?CCM ITATAWALA HII NCHI MPAKA ICHOKE IKIWA WAPINZANI MNAJADILI MAMBO KAMA HAYA
Mnhh!!
Hao wasiojitambua wakitumika na ccm hamuwaiti kuwa hawajitambui, hao hao ndio walikuwa wanabebebwa kwenye malori ili kwenda kujazana kwenye kampeni za Samia, wengine hadi wanapata ajali.Na kwa wakati Huu Tanzania ilikuwa Inamhitaji Sana waziri Mkuu aina ya Mtu Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Kiongozi ambaye huwa haogopi kuusema ukweli hata kama ni mchungu . Kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
Huyu ni waziri Mkuu ambaye kwake ukweli ndio silaha yake siku zote. Na ndiye watanzania tunamhitaji.
Sasa nyie kama siyo wajinga na mazuzu unaweza vipi andamanishwa barabarani na kijitu kipo huko Marekani? Libaba lizima na mindevu yako unaanza kuingizwa barabarani na kimtu kipo Marekani au kenya halafu unakubali? Hivi mnajitambua kweli nyie?
Nashukuru sana kuteuliwa kwa Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba kuwa waziri Mkuu. Maana mtanyweshwa kikombe cha Dawa ya ukweli mpaka mpone ugonjwa wa ujinga na umbumbumbu.
🚮Wewe hujitambui kabisa wewe. Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu anafahamika na watanzania wote kwa uchapakazi wake,uadilifu wake , uzalendo wake na misimamo yake imara katika kusimamia maslahi ya Taifa letu
Na samuya amefaulu vp mkuu, hasa matokeo ya form 4...tuambie kada mwandamizi!.Embu ondoa ujinga wako hapa wewe. Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ni akili kubwa ,ni mtu na nusu na hamna uwezo wa kujibizana naye maana hamna akili hiyo hata kidogo. Amefaulu darasani na hata katika uongozi katika kila eneo alilofanya kazi. Hamtafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile. Huyu ni Mr Clean ambaye wengi walijaribu kumchafua wakaishia kushindwa vibaya sana.