tayta mpigapicha maarufu na mahiri ni huyo anayepiga picha huku akitrot. Dada aliyechuchumaa na kamera yake ni charminglady.
Kweli kabisa charminglady! Nshakuona pale Kirumba uwanjani!Acha kabisa, unacheza na kazi wewe???? Kwenye kazi hakuna kuremba mkuu!!!!!!!!!