Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Hiyo haikua kamati, lilikua genge la wahuni na ufafanuzi wake RC Makonda kaelezea kwa ufasaha
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!
"yule bwana" mtoto wa "bwana yuleeee"
Hakutenda haki
 
Mi siwezikufanya suluhu na bwana yule.,na hapa ndo nazidi kuuona udhaifu Wa bwana yule na kwamba shule hamna kabxa., ila Ruge mi kwa hili nme mwelewa kabxaaaa...
 
Katika nchi ya watu adilifu bashite hapaswi kuwa mtumishi wa umma hata kwa sekunde moja, hata hivyo tunajua shida ilipo.
 
Wakati mwingine akili ya mtu uwa kama ugolo Fulani hivi. Vipi ile video ilikuwa ya kuigiza au hujawahi kuiona??????
Mwenyewe kasema kweli aliingia studio na skari wake wa ziada ili asiongwe 10b na watu wamihadarati sijui hapo ndiyo makazi yao?. Masikio yazizidi kichwa waweza ehuka!!!!!!!!!!!

Chief kuna watu hawajitambui kabisa! Inakuwa kana kwamba kuna kitu kingine vichwani mwao zaidi ya ubongo!!! Aibu yao
 
Mimi yule bwana kanifurahisha tu aliposema ile video ya ilitakiwa irushwe athibitishe kweli kuwa yule mama alienda kwenye mamlaka za serikali halafu hakupata msaada wowote, hapohapo anajigamba yeye ni mungu wa darithalama, alishindwaje kuvifuatilia hvyo vyombo kwani si vipo chini yake?


Yan kila failure yake anaihusisha na vita ya madawa ya kulevya, kila anayempinga yeye kwake muuza madawa...

Hivi nani aliyempa mamlaka ya kuwa msemaji wa masuala ya kitaifa?

Zamani zilee enzi za vijiji vya ujamaa mtoto akikosea adhabu ya kulima shamba la kijiji alikuwa anapewa mzazi wake
 
Nawe naomba uwe na akili kama umeonyeshwa clip mtu anavyoingia ndani na askari, why wasionyeshe clip ya kilichojili ndani, wameishia kulalama tu oooh! tumetishiwa na mitutu ya bunduki, mara Soud kapigwa, why wasionyeshe kilichoendelea ndani?
Kwanini wasimshtaki ili atoe clip yote???
Kwanini wamekaa kimya km kweli bashite ameonewa??
Uniona kimya wakati Polisi wao basi ujue clip INA makubwa ya bashite.
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!
Yule bwana alivuka mipaka na kutaka kumuharibia ofisi yake
 
Ruge ametumia namna sahihi kabisa kuhakikishia umma kuwa yuko tayari kwa suluhu lakini Bashite kwa kuwa amebebwa na hivyo kutojua umbali wa safari aendayo hataki hili suala liishe.
sasa wakati ambao yeye atakapokuja kufahamu umbali wa safari atakuwa tayari yuko chini ya mgongo ulimbeba na ruge akawa pale alipo.:
maana kashaanza kukimbia dar siku hizi mara utasikia yuko Mwanza,Arusha ,Moshi nk.
Ukiona mtu bado anaendelea kumtetea bashite kwa maelezo hayo aliyoyatoa bwana Ruge,Rudi kwenye ile tafiti kati ya watz wa 4 mmoja ni KICHAA.
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!
Weka unachokijua
 
Ikiwa Ruge anataswira mbaya sawa na ulivyoeleza, je Bashite hakujua?
Na kama alijua kwanini alipafanya clouds sawa na nyumbani kwake?
Ukijibu hayo usisahau kujibu kuwa kwanini aliwataja wengine kuhusu uhusika wa unga na akamwacha Ruge?
Wewe haujui chochote,
mie naanzia hapa... unamjua Saida Karoli?
Ruge kwa kushirikiana na Felician Mutta wamemtapeli mpaka leo kawa mkaanga chips, labda akapige shoo kuzimu lakini hapa duniani pesa yote itakayoingizwa ni ya kwao. jiulize why Ruge.

Unamjua Joseph Mbilinyi (Sugu) Huyu aliingia mgogoro wa wazi wazi na Ruge na kundi la Vinega, jiulize why Ruge
Unamjua Lady Jay Dee mpaka kesho hutoisikia nyimbo yake ikipigwa na vituo vya clouds? jiulize why Ruge

Unamjua Albert Mangwair, Huyu alitumwa naniii na ruge south......... ......... after that clouds ikagharamia na msiba na kumaliza mambo kimyakimya
Wasanii kama akina Juma Nature, AY, n.k n.k namaanisha wakongwe wanamjua kwa mikwala yake ukienda kinyume na matakwa yake ni lazima akupoteze enzi hizo za akina mabaga fresh, solid family n.kn.k

Pamoja nayo pia Ana mazuri yake.

Ukitaka kumchambua mtu lete historia yake ndio utapata picha yake halisi yukoje,
Hata hivyo jamaa mnafiki, na anatumiwa
 
Back
Top Bottom