KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 547
Hebu niambie anasemaje kuhusu ziwa Nyasa.
profesa peter muthariki ashinda kwa kupata asilimia 36.4% ya kura zote akifuatiwa na dr lazarus chakwera mwenye asilimia 28.7% huku raisi wa longiii time dr joyce banda akimaliza na asilimia 20.2%
Hao security mtu wangu
Yule shangazi atakuwa analia tu saa hizi kwa kuingia kichwa kichwa kwa tzSafi sana. Kikwete is Genius! Yule bi mkubwa alishauriwa vibaya sana...No one mess with Tanzania and remain unpunished!
Huenda hizo niza mabomu ya machoziMbona security wana bunduki za kizamani wanazotumia makampuni ya ulinzi hapa?!.
Mbona security wana bunduki za kizamani wanazotumia makampuni ya ulinzi hapa?!.
Hebu niambie anasemaje kuhusu ziwa Nyasa.
Hebu niambie anasemaje kuhusu ziwa Nyasa.
haaahaaaaaa teh,teh,teh halafu hawa askari kama wa DRC, Hiyo ndio Republican guards ya malawi Joyce Banda angeendeleza ile hoja yake juu ya ziwa nyasa halafu vita ingetimuka tungeshuhudia mengi juu ya askari hawa.aisee...Mbona kama amekamatwa?
tuwe tayari wakati wowote kuitetea sehemu yetu ya ziwa nyasa kwani huyu jamaa alikuwa akimponda mama banda kuwa anamhofia kikwete na kuamua kuweka rehani ziwa nyasakwa watanzania.Lakini naamini ukweli wa ziwa nyasa anaufahamu na akileta kwere tu tutamchapa! hatucheki na kima mbele ya uporaji wa nchi yetu!
zaidi ya yote kakayake, bingu ndiye aliyeanza kukinukisha kwa kuyaruhusu makampuni ya uk kutafiti wese na gas na kumwachia joyce zigo, huenda peter akaendeleza ......
Alishasema toka zamani tu kwamba Tanzania ilizua dai la ziwa kwa vile Malawi iikuwa na Rais dhaifu. Hivyo tujiandae tu.
aise. Pole za joyce.