Huyu ndiye raisi mpya wa malawi

Huyu ndiye raisi mpya wa malawi

Alisema na compromise Ziwa Nyasa ni la Malawi. Huyo ni Mutharika
 
mwanamke mwenzenu, mkiwezeshwa mnaweza, sijui wanaume waligoma kumwezesha mama banda mara hii? Pole mama yetu lakini nenda katubu kwa kuruhusu ushoga na kudai haki ya kumiliki ziwa nyasa isivyo halali!

Mama Getrude Mongela alikuja Malawi kumpigia debe - atakuwa anahuzunika pamoja naye sasa.
 
Ooyooo mtoto wa nyoka ni nyoka hizo chereko na kushangilia nahiyo furaha na kila aina ya nderemo zote hizo zitawatoa makamasi na uleme nje na hapo ndo watakapo jua akina nani walioturoga maaana kila kipindi uchaguzi na matirioni ya mapesa yanatumika mbona maendeleo ni kiza tu na watadai huyu sasa hafai tena kumchakuwa ni bora yule mara yule na umri ndo ushamtupa mkona ni kama mbio za vijiti vile
 
Back
Top Bottom