Huyu ndiye raisi mpya wa malawi

Huyu ndiye raisi mpya wa malawi

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
546
profesa peter muthariki ashinda kwa kupata asilimia 36.4% ya kura zote akifuatiwa na dr lazarus chakwera mwenye asilimia 28.7% huku raisi wa longiii time dr joyce banda akimaliza na asilimia 20.2%

peter+mutharika.jpg

Hebu niambie anasemaje kuhusu ziwa Nyasa.
 
Safi sana. Kikwete is Genius! Yule bi mkubwa alishauriwa vibaya sana...No one mess with Tanzania and remain unpunished!
 
Safi sana. Kikwete is Genius! Yule bi mkubwa alishauriwa vibaya sana...No one mess with Tanzania and remain unpunished!
Yule shangazi atakuwa analia tu saa hizi kwa kuingia kichwa kichwa kwa tz
 
Hebu niambie anasemaje kuhusu ziwa Nyasa.

tuwe tayari wakati wowote kuitetea sehemu yetu ya ziwa nyasa kwani huyu jamaa alikuwa akimponda mama banda kuwa anamhofia kikwete na kuamua kuweka rehani ziwa nyasakwa watanzania.Lakini naamini ukweli wa ziwa nyasa anaufahamu na akileta kwere tu tutamchapa! hatucheki na kima mbele ya uporaji wa nchi yetu!
 
aisee...Mbona kama amekamatwa?
haaahaaaaaa teh,teh,teh halafu hawa askari kama wa DRC, Hiyo ndio Republican guards ya malawi Joyce Banda angeendeleza ile hoja yake juu ya ziwa nyasa halafu vita ingetimuka tungeshuhudia mengi juu ya askari hawa.
 
tuwe tayari wakati wowote kuitetea sehemu yetu ya ziwa nyasa kwani huyu jamaa alikuwa akimponda mama banda kuwa anamhofia kikwete na kuamua kuweka rehani ziwa nyasakwa watanzania.Lakini naamini ukweli wa ziwa nyasa anaufahamu na akileta kwere tu tutamchapa! hatucheki na kima mbele ya uporaji wa nchi yetu!

zaidi ya yote kakayake, bingu ndiye aliyeanza kukinukisha kwa kuyaruhusu makampuni ya uk kutafiti wese na gas na kumwachia joyce zigo, huenda peter akaendeleza ......
 
zaidi ya yote kakayake, bingu ndiye aliyeanza kukinukisha kwa kuyaruhusu makampuni ya uk kutafiti wese na gas na kumwachia joyce zigo, huenda peter akaendeleza ......

kama taifa inabidi tujiandae kwa kipindi kigumu cha majirani vigeugeu wanaoiangalia kwa husuda jamhuri yetu!
 
Alishasema toka zamani tu kwamba Tanzania ilizua dai la ziwa kwa vile Malawi iikuwa na Rais dhaifu. Hivyo tujiandae tu.

huyu raisi mteule naye hajitambui kama mama Banda, Issue ya ziwa nyasa ilianza wakati wa Dr Hasting Kamuzu Banda, Nakumbuka wimbo huu wakati wetu wa JKT tuliimba kipara cha Banda kina magamba, sidhani kama watanzania tunataka haki yetu kwa ajili ya udhaifu wa mama banda, tunadai na tunamiliki sehemu ya ziwa nyasa kama haki yetu kama TAIFA na kamwe si kwa sababu ya udhaifu wa raisi yeyote wa nchi jirani. Basi wakiri na mwasisi wa taifa hilo mzee banda alikuwa dhaifu kwani Mwalimu nyerere alianza kumwonya yeye katika mgogoro wa awali wa ziwa hili.
 
aise. Pole za joyce.

mwanamke mwenzenu, mkiwezeshwa mnaweza, sijui wanaume waligoma kumwezesha mama banda mara hii? Pole mama yetu lakini nenda katubu kwa kuruhusu ushoga na kudai haki ya kumiliki ziwa nyasa isivyo halali!
 
ccm tia maji kichwani kinyozi chadema wanakuja.
 
Back
Top Bottom