Wengine wote wana hadhi ya kuwa raisi isipokuwa huyo mwizi wa mke wa mtu. Anahamasisha vurugu pia ni mdini.
kama wasipoiba kura rais atakuwa DK PETER WILBROD SLAA....
Kwa nini tusijadili wkanza sifa za mtu anayepaswa kuwa rais wetu 2015 ili tuweze kupima ni nani mwenye sifa tunazozihitaji?
LIPUMBA ATAPATA KURA MBILI,YAKE NA YA MKE WAKE MTATIRO,MEMBE HAWEZI HATA KUFIKIRIWA,LOWASA ATASHINDANA SANA NA SLAA,PINDA HAWEZI HATA KIDOGO KUINGIA KWENYE HIYO LIST
MSHINDI NI DR WILBROAD PETER SLAA
mkombozi wetu
Mwambie huyo kibaka aache wizi wa hoja jibu swali!!Hujajibu swali la muandishi, punguza jazba rejea kwenye mada husika.
Kabla hamjamlisha sumu kama hao wawili walio INDIA!? Mkimuua nasi tunaua ******!Hivi huyo mzee atamaliza hata huu mwaka kweli?
Mimi nadhani kati ya wote hao hakuna atakayekuwa rais. Kwa utafiti wangu niliofunya tukishirikiana na wanaccm wenzangu, naona Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania atakuwa ROSTAM AZIZNi swali lililoulizwa na idhaa ya kiswahili ya radio ujerumani leo,, lilihusisha viongozi 5 wa vyama vya siasa,
NI NANI ATAKUWA RAIS 2015 KATI YA HAWA:?
1. BERNAD MEMBE
2. EDWARD ROWASA
3. PM PINDA
4. DR SLAA
5. PROF. LIPUMBA