Ujinga tuNi yeye huyo
Hongera kwa kupata huyo mume ila msaidie kufua nguoNi m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Ulitaka afanyeje labda?Mwee! Anafanya hayo yote na wewe unamwangalia tu? Kweli huyo mumeo kalamba garasa!
Nasubiri upande wa pili wa Asprini.Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.