Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Ni kwl wakristo wanamuabudu hasa roman catholic (rc) hilo wala halina ubishi but mi nashangaa mnakataa nini mimi pia ni mkiristo,kwani mnapokuwa mnaisujudia sanamu yake hapo huwa mnafanya nini?? Jaman someni biblia wakristo wenzangu ili muijue kwl na sio kuabudu misanamu na mapicha ya huyo jamaa
UNAUHAKIKA NA UNACHOONGEA AU UNAROPOKA TU?
 
wengi wa wakristo hasa wasio na elimu au wale walioshiba imani wanaamini huyu jamaa ndo yesu...kuna wamama ukiwaambia huyo sio yesu wanabishana na wanatamani wakutie makofi...kuna rafiki yangu alinambia aliwahi kumwambia mama yke aitoe picha ya huyo jamaa ndani mwao kwa kuwa jamaa sio yesu halisia...mama ake asitake kumuachia radhi nn,na kumwambia mwanae anapotoka!
kama hamuamini km ni yesu kwann kweny picha zake munamuandika YESU/JESUS na sio Brian!indirectly huyu jamaa ananasibishwa na yesu na hata kuabudiwa pia na mpk sanamu zipo za sura ya huyu muigizaji mjanja...inakera sana.
 
Aliigiza vyema sana kwenye ile movie

Hivi kwa uigizaji ule kama angepata deal lingine la kucheza kama jambazi/katili angekubali??!
 
Alishawahi kuja na watu tukamuuliza we mbona unafanana na yesu akasema me ndo nimecheza ile filamu ya kwanza
 
Nia yangu sio kuingilia imani za wengine lakini wala kukadhifu imani za wengine lakini wakristo wengi ama kwa kutokujua au kujawa na imani wamejikuta wakimuabudi huyu jamaa kana kwamba yeye ana uhusiano wa moja kwa moja na yesu........na kiukweli ni wakristo wachache ambao hata ukiwauliza muda huu watakuambia huyo ni yesu na sio muigizaji wa filamu ya yesu....
Kiukweli kunahitajika elimu kwenye makanisa juu ya maelezo ya picha hiyo.....
Na wahusika hawataki kusikia ukweli wa namna hiyo. Mambo yameachwa yajiendee ili lengo litimie, Kuna linalokusudia nyuma ya huo mchezo
 
Ni kwl wakristo wanamuabudu hasa roman catholic (rc) hilo wala halina ubishi but mi nashangaa mnakataa nini mimi pia ni mkiristo,kwani mnapokuwa mnaisujudia sanamu yake hapo huwa mnafanya nini?? Jaman someni biblia wakristo wenzangu ili muijue kwl na sio kuabudu misanamu na mapicha ya huyo jamaa
Wenzako wanapinga kwa mpingo ulio mkuu but for real jamaa anaabudiwa kwa kiwango kikubwa tu
 
wengi wa wakristo hasa wasio na elimu au wale walioshiba imani wanaamini huyu jamaa ndo yesu...kuna wamama ukiwaambia huyo sio yesu wanabishana na wanatamani wakutie makofi...kuna rafiki yangu alinambia aliwahi kumwambia mama yke aitoe picha ya huyo jamaa ndani mwao kwa kuwa jamaa sio yesu halisia...mama ake asitake kumuachia radhi nn,na kumwambia mwanae anapotoka!
kama hamuamini km ni yesu kwann kweny picha zake munamuandika YESU/JESUS na sio Brian!indirectly huyu jamaa ananasibishwa na yesu na hata kuabudiwa pia na mpk sanamu zipo za sura ya huyu muigizaji mjanja...inakera sana.
Mipango maalum imewekwa na hakuna namna ya kuchomoka kwenye huo mtego, asa kama viongozi tu wadini hiyo wako na such mentality how about those local believers
 
Back
Top Bottom