Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Brian_Deacon-3.jpg
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa na mkewe huyo binti yao aitwaye Lara Deacon,ndoa yake ya pili alioana na mwanamama Natalie Bloch mnamo mwaka 1998 mpaka sasa wapo kwenye ndoa hiyo.


Aliigiza filamu ya Yesu ambayo pia ilimfanya aokoke mara baada ya kuitazama akiwa na miaka 30,baada ya kupita kwenye mchujo mkali wa waigizaji zaidi ya elfu moja ambao walifanyiwa mahojiano huku 260 wakijaribishwa kuigiza(screen test)kuona kwamba wanafaa akiwa ni mwingereza pekee kati ya waigizaji Waisrael walioingia kwenye usaili huo akiwa chini ya kampuni iitwayo New shakespears ambako alikuwa akifanya sanaa za majukwaani na uigizaji.
- See more at: MJUE MWIGIZAJI WA FILAMU YA YESU AMBAYE BAADHI YA WATU HUDHANI KWAMBA NI YESU. : Gospel Kitaa™
 
220px-Jesus.film.1979.jpg
12687907_179652092401788_4664930916449372231_n.jpg
12688181_179652152401782_1360699170009530926_n.jpg

Brian Deacon (born 13 February 1949) is an English actor. Although he appeared in films such as The Triple Echo(1972) and Vampyres (1974), he is perhaps best known for portraying Jesus in the 1979 film Jesus, which was made by the evangelical organization the Jesus Film Project. (Deacon was chosen for the part out of a field of 263 actors screen tested by producer John Heyman.[1]) Deacon has also portrayed Heumac in The Feathered Serpent (1976, 1978), Frank Miles in the 1978 TV series Lillie, and appeared with his brother, Eric, in the Peter Greenaway film, A Zed & Two Noughts (1985), as Oswald Deuce .
uyo ni ‪#‎brian_deacon‬ mwingereza aliyecheza filamu ya ‪‎jesus 1979_yesu‬kama mwigizaji mkuu na kumpatia umaarufu mkubwa
Duniani Kote
ila nimegundua kitu watu wanazani kua huyu ni yesu kitu ambacho si kweli na HATA YEYE MWENYEWE ALISEMA NIMEIGIZA TU! ILA MM SIO YESU NA ALISEMA IVYO KUTOKA NA NA WATU KUZANI YY NDIE KUTOKA NA NA KUMUDU VYEMA IYO NAFAS
sasa utakuta watu wengi huzani picha ya uyu jamaa ni yesu na hata na masanamu yake WAKATI MUNGU TUNAE MUABUDU SIO PICHA WALA SANAMU, MUNGU WETU NI WAROHONI
sasa unakuta mkristo ana amini picha ya mwingereza ‪#‎brian‬ kama ni yesu ama kweli maagent wa shetani ‪#‎mason‬ wanapofanya kitu wanalenga kitu flani ata kama kitakua na faida miaka 1000 ijayo wao hawaoni hasara ila wanacholenga ni kupofusha kizazi kijacho ama kama sivyo basi ni ulimbukeni na ufinyu wa fikra za wanadamu.
 
Nia yangu sio kuingilia imani za wengine lakini wala kukadhifu imani za wengine lakini wakristo wengi ama kwa kutokujua au kujawa na imani wamejikuta wakimuabudi huyu jamaa kana kwamba yeye ana uhusiano wa moja kwa moja na yesu........na kiukweli ni wakristo wachache ambao hata ukiwauliza muda huu watakuambia huyo ni yesu na sio muigizaji wa filamu ya yesu....
Kiukweli kunahitajika elimu kwenye makanisa juu ya maelezo ya picha hiyo.....
 
Ni kwl wakristo wanamuabudu hasa roman catholic (rc) hilo wala halina ubishi but mi nashangaa mnakataa nini mimi pia ni mkiristo,kwani mnapokuwa mnaisujudia sanamu yake hapo huwa mnafanya nini?? Jaman someni biblia wakristo wenzangu ili muijue kwl na sio kuabudu misanamu na mapicha ya huyo jamaa
 
Kwani kuna mtu yoyote aliyeamini kuwa huyo ni Yesu?

Hakuna!kama yupo akapimwe Akili.
wapo mbona kuna mdada tulkuwa tunaishi nae jirani kuna sku akauona ule mkanda wa the passion of the crist so kwa yale mateso aloyaona akaanza kuxema yule aloekt ni yesu mwenyewe...! me nlimbishia sana na kumwambia maswala ya techno ya camera miaka hiyo haikuwepo lkn bado aliendelea kuamini...
 
Ni kwl wakristo wanamuabudu hasa roman catholic (rc) hilo wala halina ubishi but mi nashangaa mnakataa nini mimi pia ni mkiristo,kwani mnapokuwa mnaisujudia sanamu yake hapo huwa mnafanya nini?? Jaman someni biblia wakristo wenzangu ili muijue kwl na sio kuabudu misanamu na mapicha ya huyo jamaa

Nadhani unataka kubomolewa, Endelea kuleta fyokofyoko zako...!!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom