General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Wengine tunapenda anavyochekaNi mzuri kweli Ila apunguze kucheka cheka hovyo anajiharibia
Wengine tunapenda anavyochekaNi mzuri kweli Ila apunguze kucheka cheka hovyo anajiharibia
Vipi mzima wewe?Beauty is in the eye of the beholder
😂😂😂😂😂😂
mpemba mmja hivi na meno yake yaliyopandiana but i love him so much meena aliAnaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali
Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo
View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075
Sura ngumu sana hao wadau..sema make-up ndo zinawangarishaPicha za 360 noma asee siku nimekutana na Vanessa &Jux kidogo nidondoke
Nadhani anasemea kuliko wote clouds mediaKuliko wote? Ushatembe Tanzania yote kufanya utafiti?
Penny zigo la Chibu akiwa ndo anatoka-tokaPenny sio mzuri kiandunje hafu mnene ka kiboko
MmhPenny wakawaida sanaa
Na Mimi nashangaa sana... Mtu wa kawaida lakini anapambwaaa!!! Khaaa, yaani analazimisha wote tumpende....Hivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri/mrembo kuliko wote Tanzania?
Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
Analisha familia yako eti?bwege kweli wewe umekosa kitu cha kuandika kabisaaaa hata kumsifia mke wako tu unakalia kusifia wasiokuhusu.Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali
Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo
View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075
Sawa sura ipo je chura ipo?Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali
Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo
View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075
Imepingwa hyooHivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri/mrembo kuliko wote Tanzania?
Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali
Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo
View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075