Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Hivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri/mrembo kuliko wote Tanzania?

Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
unajua mwenye hii post ni mpumbavu ila ndio hivyo amekiri mmyewe maana alisema"binafsi yeye ameona ni mzuri"
 
TBC TAIFA BABA LAOOO
 
Attachments

  • 2629778_IMG_20201202_211331.jpg
    2629778_IMG_20201202_211331.jpg
    68 KB · Views: 10
Hivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri/mrembo kuliko wote Tanzania?

Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
Hii..inchi kila mtu mchambuzi, mtafiti, star, mentor, manager yaaniii shida tupu 😂😂😂😂😂. Tuishi nao tuu mkuu
 
Back
Top Bottom