Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Ila huyu demu ni picha za editing, ukikutana nae kasuka nywele za mistari , waweza dhania ni beki 3
 
Namuona kama ni type ya kina fettylicious vile, dera kwake kanzu, anyway, ana sauti maridhawa ya utangazaji, itoshe kusema nampenda sana huyu.
 
Tusitaniane kwenye mambo muhimu kama haya. Hebu tuanze kumjadili sasa hutu mwanamke. Hebu tuacheni utani anauzuri gani?
1545127530511.png


1545127553825.png


1545127644391.png


1545127585403.png
 
Hivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri/mrembo kuliko wote Tanzania?

Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
Na Mimi nashangaa sana... Mtu wa kawaida lakini anapambwaaa!!! Khaaa, yaani analazimisha wote tumpende....

Inastajabisha kweli!
 
Hivi unatumia kigezo gani kutuaminisha watu wote kuwa huyo ndie mtangazaji mzuri/mrembo kuliko wote Tanzania?

Watanzania hivi tupoje? Ukisema mtu fulani kuwa ni mzuri (kwa kutumia vigezo vyako tusivyovijua)ni lazima tukubaliane na wewe kuwa ni mzuri?
Imepingwa hyoo
 
Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali

Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo

View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075

Kwa ushikaji kweli namkubali ni mshikaji, hanaga noma na mtu huyu Dada...ingawa ushkaji umekuwa mwingi kiasi kwamba hadi naanza kuhisi ni tom boy labda 😁😁😁.

Ila kusema kuwa ni mrembo kuliko watangazaji wote TZ hapo umetudanganya.

Alafu huyu dem anatokaga Arusha kama sijakosea ndiyo maana ushkaji mwingi kuliko
 
Back
Top Bottom