Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

Nampenda sana huyu binti, Joannah; kweli ni mpambanaji na anajua kupenda; nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda; kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja; nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio mrs Equation x; ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​

Walisema hatapata mtoto mbichi mbona kampata.
 
Nampenda sana huyu binti Joannah kweli, ni mpambanaji na anajua kupend. Nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda, kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja. Nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio Mrs Equation x, ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​
Kupatwa kwa Equation X🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom